×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wanne wakamatwa wakisafirisha Misandali (Sandalwood) ya thamani ya mamilioni ya pesa

22nd November, 2015

Washukiwa wanne wamekamatwa baada ya kupatikana wakisafirisha miti aina ya Msandali au Sandalwood kwa lugha ya kiingereza unaokisiwa kugharimu shilingi milioni ishirini huku wakitumia gari la serikali. Mmoja wa washukiwa hao ni afisa wa utawala aliyeshirikiana na watatu hao. Saida Swaleh ana maelezo zaidi kuhusu kisa hicho.
.
RELATED VIDEOS