x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kutana na Ryan Thuku na Jason Oyuchi, watoto walio na uwezo wa kusoma kama macho yamefungwa

21, Nov 2015

Binadamu humiliki vipaji na talanta mbalimbali kama vile uigizaji, uchoraji,uimbaji na kadhalika. Lakini kisa kimoja cha mtoto aliye na uwezo wa kusoma kama macho yamefungwa kinastaajabisha na kuwaacha wengi na maswali chungu nzima. Ryan Thuku aliye na umri wa miaka tisa anakipawa hicho maalum cha kuona kama amefumba macho. Na isitoshe, kakake mdogo Jason Oyuchi pia ana kipawa kama hicho.

RELATED VIDEOS


Feedback