×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mama afariki hospitali ya rufaa ya Samburu saa 17 baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji

18th November, 2015

Visa vya wanawake kufariki wanapojifungua mikononi mwa wahudumu wa afya vimekithiri. Baadhi ya wahudumu wa afya wamekuwa wakilaumiwa kwa utepetevu na kusabababisha akina mama kuaga dunia wanapojifungua. Mama mwingine amefariki katika hospitali ya rufaa ya Samburu saa 17 baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji.
.
RELATED VIDEOS