x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakenya waadhimisha siku ya kuwakumbuka waathiriwa wa ajali za barabarani

15, Nov 2015

Wakenya waliungana na ulimwengu mzima kwenye matembezi ya kuadhimisha siku ya kuwakumbuka waliofariki katika ajali za barabarani. Siku hiyo huadhimishwa kila Jumapili ya pili, mwezi November. Kwenye hafla hiyo ilibainika pia kwamba vikundi vya mitandao kama whatsapp vinahujumu juhudi za kuzuia ajali.

RELATED VIDEOS


Feedback