x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Viongozi mbalimbali kote duniani watoa rambirambi kwa Ufaransa kutokana na shambulizi la kigaidi

14, Nov 2015

Viongozi wa nchi mbalimbali kote duniani wanazidi kutoa risala za rambirambi kwa Ufaransa kutokana na matukio ya kigaidi yaliyowaua zaidi ya watu 120. Kundi la wapiganaji la Islamic State limesema kuwa lilihusika katika mashambulizi hayo yaliyowaacha zaidi ya watu mia mbili wakiwa wamejeruhiwa.

RELATED VIDEOS


Feedback