x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mahakama Kuu ya Mombasa yaondoa marufuku kwa akaunti za benki za mashirika ya Haki Afrika

12, Nov 2015

Mahakama kuu mjini mombasa hatimaye imeondoa marufuku kwa akaunti za benki za mashirika ya haki afrika na muhuri.... Jaji anyara emukule kwenye uamuzi wake amesema kuwa mashirika hayo hayakupatiwa muda ufaao kujieleza kabla kufungwa kwa operesheni zao….viongozi wa mashirika hayo wamesema kuwa watarejea katika shughuli zao mara moja

RELATED VIDEOS


Feedback