×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huduma za hospitali za umma zazidi kuzorota

12th November, 2015

Tunaanza habari zetu leo kwa suala ambalo limeanza kuwatatiza wakenya wanaotafuta huduma katika hospitali za umma. Si mara moja baadhi ya wakenya wamefariki kwa kukosa huduma huku wengine wakiugua zaidi baada ya kuhudumiwa. Leo tunaangazia kisa cha familia moja ambayo sasa inapitia mahangaiko baada ya kumpeleka mtoto wao katika hospitali kuu ya kenyatta kutibiwa lakini akarudi nyumbani akiwa amepoteza uwezo wa kuona.
.
RELATED VIDEOS