Waziri wa ugatuzi Anne Waiguru ahojiwa na makachero wa EACC kuhusu madai ya ufisadi
10th November, 2015
Waziri wa ugatuzi na mipango ya taifa Anne Waiguru bado yupo katika makao mkuu ya tume ya kupambana na ufisadi EACC kuelezea anayoyajua kuhusiana na ile sakata ya kutoa huduma kwa vijana NYS.