x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jinsi vijana wanajiepusha na minyororo ya uhalifu Kisumu

05, Nov 2015

Jiji la Kisumu limekuwa likigonga vichwa vya habari kutokana na ongezeko la visa vya uhalifu. Lakini katika mtaa wa mabanda wa Obunga kuna vijana ambao wameamua kujiepusha na minyororo hiyo ya uhalifu. Kama anvyoripoti Victor Ogalle vijana hao wanaeneza ujumbe kwa wenzao waliosalia kwenye uhalifu kujinasua wenyewe.

Feedback