x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ufisadi: Je lipo lililofichika kuhusu Vituo vya Huduma Centre?

04, Nov 2015

Vituo vya Huduma Centres ni miongoni mwa idara za serikali zinazodaiwa kunufaikia ufisadi huku baadhi ya vifaa katika vituo hivyo vikinunuliwa kwa njia ya ubadhirifu. Hayo yakijiri mjini Mombasa kamishna wa kaunti hiyo Nelson Marwa alikuwa akiondolea vituo hivyo lawama. Je lipo lililofichika? John Juma anaripoti

RELATED VIDEOS


Feedback