×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Nakuru wavamia afisi kuu ya kaunti kuwasilisha malalamishi yao kwa Gavana Kinuthia Mbugua

3rd November, 2015

Kulikuwa na wasiwasi katika afisi kuu za serikali ya Kaunti ya Nakuru pale polisi wa kupambana na vurumai walipokizuia kikundi cha wanaharakati walionuia kuzivamia afisi hizo kwa lengo la kuwasilisha malalamishi yao kwa Gavana Kinuthia Mbugua. Malalamishi hayo ni kuhusu ripoti ya mhasibu mkuu wa serikali iliyoonyesha ubadhirifu wa fedha katika kaunti ya Nakuru. Kamche Menza anaarifu.
.
RELATED VIDEOS