Ulevi wazorotesha elimu katika eneo la Gatundu, kaunti ya Kiambu
3rd November, 2015
Ulevi miongoni mwa wazazi na malezi mabaya ni miongoni mwa vigezo vinavyozorotesha viwango vya elimu miongoni mwa wanafunzi katika eneo la Gatundu, kaunti ya Kiambu. Haya ni miongoni mwa matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya uwezo Kenya. Murimi Mwangi na taarifa zaidi