×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shirika la Kandanda nchi awaonya wanariadha dhiidi ya kutumia madawa ya kulevya

31st October, 2015

Afisa mkuu mtendaji wa chama cha riadha nchini Isaac Mwangi ameeleza kuwa mikakati kabambe itawekwa ili kuzuia visa vya utumiaji wa dawa ya kusisimua misuli katika riadha. Mwangi, aliyekuwa akizungumza katika uzinduzi wa mbio za nyika za tuskys wareng aliongeza kuwa wataanzisha shughuli ya kuwafanyia uchunguzi wanariadha katika mashindano yote humu nchini ili kukomesha tatizo hilo ambalo limeugubika ulimwengu wa riadha katika miaka ya hivi karibuni.
.
RELATED VIDEOS