Wazazi wadai kuwa shule ya Nyandarua yadhalimu wanafunzi
31st October, 2015
Hali ya sintofahamu imewakumba wanafunzi watatu wa shule ya msingi huko Nyandarua, baada ya shule kuwapa barua ya uhamisho kwa lazima. Watoto hao wamedai kutatizika tangu julai kufuatia mzozo ulioibuka baina ya walimu na wazazi baada ya mmoja wao kudaiwa kuadhibiwa vibaya na mwalimu kwa kuiba shilingi