x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uhaba wa maji mjini Garissa na maeneo yaliyo karibu yawaathiri wakazi pakubwa

30, Oct 2015

Uhaba wa maji mjini Garissa na maeneo yaliyo karibu umeathiri wakazi huku ikiarifiwa kwamba tatizo hilo limetokana na mzozo kuhusu nani anafaa kuongoza kampuni ya maji ya Garissa. Aidha mwanafunzi mmoja wa kike amefariki baada ya kugongwa na gari alipokuwa akivuka barabara kwenda kutafuta maji ya kunywa.

Feedback