x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

John Pombe Magufuli wa CCM ndiye rais mteule wa Tanzania baada ya kumpiku Edward Lowassa wa Chadema

29, Oct 2015

Habari kutoka Tanzania ambapo tume ya uchaguzi nchini humo imemtangaza John Pombe Magufuli , wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika siku Ya jumapili. Tume hiyo imesema Magufuli amejinyakulia zaidi ya kura milioni nane huku mshindani wake Edward Lowasa wa chama cha Chadema akiwa na kura zaidi ya milioni sita. Hata hivyo upinzani umeyapinga matokeo hayo licha ya kuwa katiba ya Tanzania hairuhusu mlalamishi kuwasilisha rufaa mahakamani kupinga matokeo ya urais.

RELATED VIDEOS


Feedback