x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Kajiado washindana na wanyama wa mwitu kwenye visima asili vya maji

29, Oct 2015

Eneo la Kajiado limekuwa likikumbwa na ukosefu wa maji huku raia wa eneo wakijipata wakishindana na wanyama wa mwitu kwenye baadhi ya visima asili vya maji. na sasa waziri wa maji Eugene Wamalwa amezindua miradi 40 ya maji kwa gharama ya shilingi bilioni 1.1 akisema ndiyo suluhu ya tatizo hilo.

Feedback