x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri wa elimu Jacob Kaimenyi akiri kuwa angali na imani na baraza la mitihani KNEC

27, Oct 2015

Waziri wa elimu Jacob Kaimenyi amekiri kuwa angali na imani na baraza la mitihani humu nchini - KNEC..akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu elimu kaimenyi alisisitiza haya licha ya yeye na washikadau kukubali kuwa kumekuwepo na changamoto ya wizi wa mitihani. Wakati huo huo mbunge wa mbooni kisoi munyao amewasilisha hoja bungeni ya kutaka baraza la KNEC kuvunjiliwa mbali kwa kushindwa kusimamia mtihani ipasavyo. Francis Mtalaki na maelezo zaidi.

Feedback