x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watu watano wa familia moja wauawa katika kile serikali inasema ni mzozo wa ardhi Mlima Elgon

23, Oct 2015

Siku mbili pekee baada ya kamishna wa kaunti ya Bungoma Maalim Mohammed kutangaza kuwa huenda serikali ikaanzisha operesheni mpya ya kijeshi kukabiliana na wanamgambo wa kundi la Sabaot Land Defense Force {SLDF} wilayani Mlima Elgon, maafa yametokea usiku wa kuamkia leo. Hii ni baada ya watu watano wa familia moja kuuawa katika kile ambacho serikali imesema ni mzozo wa ardhi.

POPULAR NEWS VIDEOS


03

17 SEP 2021

Making farming cool

RELATED VIDEOS


Feedback