Washukiwa wawili wa ugaidi akiwemo Luqman Khatib wakamatwa mjini Mombasa
22nd October, 2015
Washukiwa wawili wa ugaidi akiwemo mshukiwa mkuu Luqman Khatib anayedaiwa kutekeleza visa vingi vya mauaji ya watu wakiwemo polisi mjini Mombasa amekamatwa na ataendelea kuzuiliwa Korokoroni. Kadhalika wanafunzi waliodaiwa kushiriki udanganyifu wa KCSE watalazimika kulipa dhamana ya shilingi 400,000 kila mmoja ndiposa wawe huru kuendelea na mtihani. John Juma ana maelezo zaidi