Muungano wa UKAWA wamuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha uchaguzi utakuwa wa huru na haki
22nd October, 2015
Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umetoa wito kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhakikisha uchaguzi mkuu wa siku ya Jumapili utakuwa huru na haki…. Muungano huo almaarufu UKAWA kwa muda sasa umekuwa ukidai kwamba chama tawala cha CCM kina nia ya kuiba kura