×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wawili wakamatwa kwa kutangaza huduma za uganga mjini Mombasa

21st October, 2015

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News hWatu wawili wamefunguliwa mashtaka ya kuweka mabango ya kutangaza huduma za uganga mjini Mombasa bila idhini na bila ya kulipia ada za kutangaza huduma hizo. Wawili hao walikamatwa wakati wa msako uliofanywa na serikali ya kaunti ya Mombasa wa kung’oa mabango hayo. Je, mabango hayo yanamaanisha nini kwa mji wa Mombasa? John Juma anaripoti zaidi.
.
RELATED VIDEOS