x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wawakilishi wa kaunti ya Murang'a wapitisha hoja ya kutokuwa na imani na Gavana Mwangi wa Iria

21, Oct 2015

Wawakilishi wa kaunti ya Murang'a wamepitisha hoja ya kutokuwa na imani na Gavana Mwangi wa Iria . Hoja ya kutimuliwa mamlakani imewasilishwa na mwakilishi maalum Mary Waithera. Wawakilishi 35 waliunga mkono kuondolewa mamlakani kwa wa Iria huku 15 wakipinga hoja hiyo.

Feedback