×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uhuru Kenyatta akariri kuwa maombi ya William Ruto na Joshua Sang itaendelea

21st October, 2015

Kwa mara nyengine siasa za mahakama ya ICC zimejitokeza baada ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kukariri kuwa mikutano ya maombi inayoandaliwa na mrengo wa Jubilee kwa niaba ya naibu wa rais William Ruto na mwanahabari Joshua Sang itaendelea. Kama ilivyopangwa. Matamshi haya yametolewa siku chache tu baada ya jaji wa mahakama ya ICC Chile Osuji kuwaonya viongozi wa Kenya kukoma kutumia hafla za maombi katika kuisuta mahakama hiyo.
.
RELATED VIDEOS