Mseto wa sherehe za mashujaa kutoka maeneo mbalimbali ya humu nchini
20th October, 2015
Sherehe za mashujaa pia ziliadhimishwa katika Kaunti tofauti za humu Nchini huku viongozi mbalimbali wakijadili matukio ya kitaifa. John Juma na mseto wa sherehe hizi kutoka maeneo mbalimbali ya humu nchini