x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri James Macharia awataka wabunge kupitisha mswada wa sheria za afya ili kuepuka utepetevu

16, Oct 2015

Waziri wa afya James Macharia amewataka wabunge kuharakisha kupitishwa kwa mswada wa sheria za afya ili kuepuka visa vya utepetevu katika hospitali za umma na za binafsi. Akizungumza katika hafla ya ushirikiano kati ya Uchina na Kenya ili kuboresha sekta ya afya nchini Kenya , Macharia amesema kuwa ni kinyume cha sheria kwa mkenya yeyote kunyimwa matibabu ya dharura kwa sababu ya kukosa pesa

Feedback