x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Changia mgonjwa wa saratani Josephine Mukite kupitia nambari ya M-pesa paybill : 761818

16, Oct 2015

Mtazamaji hapo jana tulikuletea taarifa kwenye KTN leo kumhusu mgonjwa wa saratani Josephine Mukite ambaye ameathirika kwa miaka miwili sasa? Baada ya taarifa hiyo watazamaji wengi walieza ari ya kumsaidia Josepphine kugharamia matibabu yake. Josephine anahitaji shilingi elfu mia sita ili aweze kukamilisha matibabu yake. Basi Josephine anaweza kuchangiwa kupitia nambari ya M-pesa paybill ; 761818 jina la akaunti ni Josephine Mukita Lugano pia benki ya Family au Family bank ukipenda account number 033000016686

RELATED VIDEOS


Feedback