×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanawe Lizy Achieng ana uti wa mgongo ambao huvuja maji na damu mara kwa mara

14th October, 2015

Lizy Achieng kwa muda wa miaka mitatu sasa ni mzazi ambaye katika muda wa mwaka mmoja na miezi minne amelazimika kumgharamia mwanawe anayeathirika kwa ugonjwa ambao sio wa kawaida. Mtoto huyo ana tatizo kwenye uti wa mgongo wake ambao huvuja maji na damu mara kwa mara. Victor Ogalle na taarifa zaidi.
.
RELATED VIDEOS