Bei ya mafuta ambapo Petrol Super itapungua kwa shilingi 9
14th October, 2015
Tume ya kudhibiti kawi nchini imetangaza kupungua kwa bei ya mafuta ambapo Petrol Super itapungua kwa shilingi 9. Bei hiyo mpya itaanza kutumika usiku wa manane .hata hivyo bei ya mafuta ya Dizeli imepanda kwa shilingi mbili na senti arobaini na nne huku bei ya mafuta taa ikipanda kwa shillingi tatu na senti arobaini na tisa.