Kisiwa cha Mvita chatarajiwa kukumbwa na changamoto kuu katika mvua ya Elnino
07, Oct 2015
Kisiwa cha Mvita ni mojawapo ya maeneo yanayotarajiwa kukumbwa na changamoto kuu katika mvua ya Elnino inayotarajiwa. Inaarifiwa kwamba viwango ya maji katika Bahari ya Hindi vitapanda kwa zaidi ya mita tatu katika hali itakayotatiza pakubwa makazi ya wengi kwenye Fuo za Bahari. John Juma anaarifu.