x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mvua kubwa inatarajiwa kunyesha katika kaunti ya Mombasa na sehemu kadhaa za Pwani

06, Oct 2015

Mvua kubwa inatarajiwa kunyesha katika kaunti ya Mombasa na sehemu kadhaa za Pwani kuanzia usiku wa leo. Haya ni kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya anga. Watabiri wamesema huenda mvua hiyo ya zaidi ya milimita thelathini kwa siku tatu mfululizo ikasababisha mafuriko au maporomoko ya ardhi. Idara hiyo sasa imewataka wapwani na wakazi wengine walio sehemu za Mombasa au kaskazini mwa Mombasa, mfano na Mtwapa, kuepuka mikondo ya maji wakati wa mafuriko ili kuepuka hatari.

RELATED VIDEOS


Feedback