×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kijana wa kidato cha pili apokea sifa kwa kufanikiwa kuchapisha kitabu alichokiandika mwenyewe

4th October, 2015

Kijana mmoja kutoka kaunti ya Uasin Gishu anasifika na wengi wenye umri kama wake baada ya kufanikiwa kuchapisha kitabu alichokiandika mwenyewe. Tony Ngala ana umri wa miaka 17 na ana ari ya kuandika vitabu vingi ili kuikuza talanta yake. Saida Swaleh na taarifa hiyo
.
RELATED VIDEOS