×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta wa Machakos Johnstone Muthama apinga madai ya kutoa matamshi ya uchochezi

30th September, 2015

Seneta wa Machakos Johnstone Muthama ameyapinga madai ya kutoa matamshi ya uchochezi na kusema kwamba aliyeyawasilisha malalamishi hayo hakuutathmini vilivyo usemi wake. Hii ni kwa mujibu wa tarifa kwa wanahabari iliyosomwa na seneta wa Bungoma Moses Wetangula aliyeandamana na Muthama. Hata hivyo N.C.I.C imesema kwamba haitegemei malalamishi kutoka kwa mtu binafsi ili kutekeleza majumu yake.
.
RELATED VIDEOS