×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya raga Impala Saracens na Top Fry Nakuru kupata ujuzi wa mchezo wa raga nchini uingereza

28th September, 2015

Timu ya raga ya wachezaji wasiozidi umri miaka 13 na vile vile timu ya Top Fry Nakuru zitakuwa kati ya timu nyingi kutoka kote nchini ambazo zitapata nafasi ya kupata ujuzi wa mchezo wa raga nchini uingereza. Timu ya Impala itawakilishswa na wachezaji kumi ambao watapata nafasi ya kuzuru nchi za uingereza na vile vile kupata mafunzo ya mchezo wa raga huku pia wakitarajiwa kutazama mechi za kombe la dunia la raga nchini uingereza. Timu ya Impala itapata Udhamin kutoka kwa benki ya Standard Charterd ambao watasimamia gharama ya safari hiyo. timu kutoka Uganda, Botswana, Colombia, Hong Kong, India, Afrika Kusini, Swaziland na Uganda zitashiriki ziara hii nchini uingereza.
.
RELATED VIDEOS