×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama cha walimu cha KNUT chawaarifu walimu wasirejee shuleni

28th September, 2015

Sekta ya elimu nchini Kenya bado inakumbwa na changamoto baada ya chama cha kitaifa cha KNUT kuwaarifu walimu wasirejee shuleni. Katibu mkuu wa chama hicho Wilson Sossion ametuma taarifa katika vyombo vya habari na kusema kuwa watatoa mwelekeo hapo kesho baada ya kupata maagizo ya mahakama. Hussein Mohammed anaarifu zaidi
.
RELATED VIDEOS