×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke ngangari: Teresa Cherono ni mhudumu katika hifadhi ya Maiti

28th September, 2015

Kwenye makala yetu ya kila Jumapili ya Mwanamke Ngangari tunamwangazia mwanamke mmoja kutoka kaunti ya Uasin Gishu ambaye anajishughulisha pakubwa na kazi ambayo wengi hudai kuwa mwiko katika jamii. Teresa Cherono ni mhudumu katika hifadhi ya Maiti. Elvis Kosgei anaarifu kwenye makala hayo.
.
RELATED VIDEOS