Wakaazi wa Dunga Unuse wabomolewa nyumba zao chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa polisi Mombasa
22nd September, 2015
Tukielekea mjini Mombasa ni kuwa mgogoro unaozingira kipande cha ardhi kijulikanacho kama Dunga Unuse umeibuka tena. Wakaazi hao wamebomolewa nyumba zao chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa polisi.