Wahudumu wa afya wagoma Garissa huku hospitali hiyo ya rufaa ikifungwa
21, Sep 2015
Wagonjwa katika maeneo ya Garissa wamejipata taabani baada ya wahudumu wa afya kugoma huku hospitali hiyo ya rufaa ikifungwa. Hamza Yussuf alikuwa katika hospitali hiyo na kuzungumza na wagonjwa ambao wamekosa watu wa kuwahudumia