×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii ya Wameru yaibua hisia mseto sasa kufuatia kisa cha mvulana kuchomwa na panga akipashwa tohara

21st September, 2015

Kupashwa kwa tohara imekuwa ni nguzo muhimu kwa jamii mbalimbali hapa Nchini. Hata hivyo katika jamii ya Wameru hisia mseto sasa zinaibuka kufuatia kisa cha mvulana kuchomwa na panga wakati wa kupashwa tohara, huku familia yake ikisalia kutafuta haki . Hussein Mohammed alizungumza na baadhi ya wakaazi wa jamii hiyo kutafuata mwafaka wa mila na tamaduni hizo.
.
RELATED VIDEOS