Wakaazi wa zaidi ya vjiji 500 kaunti ya Nakuru watumia kinyesi chao kama makaa ya jiko
15th September, 2015
Zaidi ya vjiji 500 kaunti ya Nakuru vinatumia kinyesi baada ya technolojia mpya kuzinduliwa na kampuni moja eneo hilo. Sasa wakazi watakuwa wakitumia kinyesi chao kama makaa ya jiko huku wakitunza mazingira na kuepusha mkurupuko wa magonjwa na ukataji wa miti.