Nahodha wa zamani wa timu ya Nigeria Super Eagles amejitosa katika uchaguzi ujao wa FIFA
7th September, 2015
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria ya Super Eagles amejitosa katika uchaguzi ujao wa FIFA. Kenya itaandaa uchaguzi wake wa soka mwezi wa Novemba na wagombeaji wameanza kutafuta kura huku wakitaka wafuasi kuvuta upande wao.