×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

“Hatupepesi jicho ngo’ !’ ndio msimamo waliochukua walimu kupitia wasimamizi wa miungano yao

6th September, 2015

“Hatupepesi jicho ngo’ !’ ndio msimamo waliochukua walimu kupitia wasimamizi wa miungano yao baada ya kutishwa kufutwa kazi na tume ya kuajiri walimu TSC. Kulingana nao wamechoka kutishiwa ilahali wana kila haki ya kutetea haki zao waliokabidhiwa kupitia mahakama. Wakati huo huo viongozi wa dini wameunga mkono walimu na kuitaka serikali kuwajibika.
.
RELATED VIDEOS