Ndege aina ya kipekee duniani wanaopatikana Tanariver
6th September, 2015
Wengi wanaposikia jina Tana Delta, picha ya kwanza wanayokumbana nayo vi vurugu ambazo zilishuhudiwa sehemu hiyo na kusababisha maafa. Japo lisilojulikana ni kuwa ne ngome ya watalii. Baadhi yao huzuru eneo la kipini ambako maji ya bahari na mto hukutana ila hayatangamani. Wenyewe wanasema bahari hujiona tajiri na kutenga maji ya Mto Tana. Mbali na hayo kuna ndege ya kipekee duniani wanaopatikana Tanariver. Hamza Yussuf alikuwa kipini na ametuandalia taarifa ifwatayo.