×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashine ya Radiotherapy yapata hitilafu katika Hospitali Kuu Ya Kenyatta

3rd September, 2015

Maelfu ya wagonjwa wa maradhi ya saratani wameathirika baada ya mashine moja inayotoa huduma ya Radiotherapy katika Hospitali Kuu ya Kenyatta kuwa na hitilafu. Kulingana na wasimamizi wa hospitali ya Kenyatta uharibifu huo umetokana na matumizi ya kupita kiasi ya huduma hiyo. Haijabainika ni lini mashine hiyo itaanza kufanya kazi upya huku wagonjwa wengi wanaoitegemea huduma hii wasijue la kufanya. Saida Swaleh alizuru hospitali kuu ya Kenyatta na kutuandalia taarifa ifuatayo.
.
RELATED VIDEOS