x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Vita dhidi ya pombe haramu yaendelea Laikipia huku wakaazi wakishirikisha kujadili suala la pombe

01, Sep 2015

Vita dhidi ya pombe haramu vinaendelea huku wakaazi wa Laikipia wakishirikishwa na viongozi kwenye kikao cha kujadili suala la pombe katika kaunti. Viongozi walitaka maoni yao wakazi kuhusu kutolewa kwa leseni za baa na maduka ya kuuza pombe katika Kaunti hiyo.

Feedback