×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Naibu Rais William Ruto atimua mbio kuwalaki wanariadha wa Kenya waliowasili nchini kutoka Uchina

1st September, 2015

Naibu Rais William Ruto leo amewaacha wengi wakiangua kicheko katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, alipotimua mbio kuwalaki wanariadha wa kenya waliowasili nchini kutoka Uchina.walinzi wa naibu rais walibaki wakidondokwa kijasho wakijaribu kumfikia naibu rais. Mabingwa hao waliinua hadhi ya Kenya kwa kulifanya taifa bora kwenye kinyang’anyiro cha IAAF. Mwanaspoti wetu Lynne Wachira anaarifu.
.
RELATED VIDEOS