×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Isaiah Kiplagat atangaza kurejea kwake kwenye Shirikisho la Riadha nchini

1st September, 2015

Mwenyekiti wa shirikisho la riadha nchini, Isaiah Kiplagat ametangaza kurejea kwake kwenye shirikisho la riadha nchini baada ya likizo ya muda wa miezi mitatu. Kiplagat alikosa kufaulu katika azma yake ya kuchaguliwa kama naibu mwenyekiti wa shirikisho la riadha nchini, IAAF. Hata hivyo, alisisitiza kuwa kurejea kwake ni mwanzo wa matayarisho ya kustaafu kwake kutoka riadha.
.
RELATED VIDEOS