x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gladys Boss Shollei alifika mahakamani kujibu mashata kuhusu matumizi mabaya ya afisi

24, Aug 2015

Aliyekuwa msajili mkuu wa mahakama Gladys Boss Shollei alifika katika mahakama ya hakimu mkuu wa Nairobi kujibu mashata kuhusu matumizi mabaya ya afisi na kukiuka kanuni za zabuni wakati wa ununuzi wa nyumba ya jaji mkuu. Alikanusha mashtaka yote na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki sita pesa taslimu. Paul Nabiswa anaarifu

Feedback