x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mbunge wa Gatundu Moses Kuria adaia kuna watu walio na njama za kumuangamiza kisiasa

18, Aug 2015

Mbunge wa Gatundu Moses Kuria amefika kwa mara ya pili mbele ya kamati ya nidhamu katika chama cha TNA akikabiliwa na tuhuma za kutoa matamshi ya uchochezi.wakili wa kuria Danson Mungatana amekishutumu chama cha TNA huku akidai kuwa kuna watu walio na njama za kumuangamiza kisiasa mteja wake Moses Kuria.elvis kosgei na maelezo zaidi

RELATED VIDEOS


Feedback