×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbwa 1,500 wachanjwa Laikipia kwenye kampeini ya kupunguza ugonjwa wa kichaa cha mbwa

18th August, 2015

Ugonjwa wa kichaa cha mbwa huwaua watu 2,000 kila mwaka nchini na wengine 60,000 kote ulimwenguni . Tatizo hili limezidi zaidi katika maeneo yaliyozongwa na umaskini kwa kuwa waathiriwa wengi hawana uwezo wa kutafuta tiba kwa dharura. Katika kampeini inayoendelea kwa sasa katika kaunti ya Laikipia, mbwa 1,500 wanatarajiwa kuchanjwa wakiwemo mbwa koko.
.
RELATED VIDEOS